Currency
+255 679 360 260
Kinondoni, Dar es salaam
info@njoorealestate.com

Nyumba inauzwa – Buyuni, Ilala 20 x 30

Tsh28,000,000

Details

Nyumba yenye vyumba viwili (2) na sebure inauzwa.

Nyumba ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa 20 x 30

Nyumba ipo nyuma ya jengo la Dangote.

Huduma za kijamii kama umeme, maji na barabara zote zipo.

Kituo cha daladala kinaitwa Sheratoni.

Barabara zinapitika vizuri bira shida. Kuna barabara mbili tofauti unaweza kupita ili kufika katika nyumba hiyo.

Mazingira ni mazuri na nyumba ipo njia panda, yaani nyuma ya nyumba kuna barabara na kushoto kwa nyumba pia kuna barabara. Pia nyumba imezungukwa na nyumba nyingine zilizojengwa kisasa.

 

  • ID: 3569
  • Views: 713